Tuesday, March 25, 2014
Tuesday, September 10, 2013
Sikiliza Na Download Wimbo Wangu Mpya "KIMUGINA"
Hii ndiyo KIMUGINA Track kutoka kwa Linex unaweza kumuita Sunday Mjeda au Leka Meka au Kimugina Boi, Kazi imefanyika pale Seductive Rec na Mr T-Touch.
Linex amesema kuwa Track japo kuwa ameimba mwenyewe lakini anaona ni kama wameimba wawili yaani Linex pamoja na Sunday akiwa na maana kuwa alicho kiimba humu ndani kinamuhusu sanaaaa
Chukua time ya kuisikiliza sasa Track hii kisha sema lolote ili kuendeleza Muziki wetu wa Bongo Fleva,
PRESS PLAY....